House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 4
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YA WAWILI
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA
💰BEI NI 180,000/= X 4
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.3...USAFIRI BAJAJI 1000 MPKA GETINI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI