House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 6
๐น๐ฟ KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
โผ๏ธHAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING
๐๏ธAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
๐ฐ BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
SIMU 0659336751 WSP 0786085637