House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 8 - 9 KUTEMBEA JIRANI NA LAMI
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master sebure na jiko open kitchen
Inapangishwa hapa stop over
NYUMBA NI MPYA MPYA
Hii zipo 4 kwenye fence moja Kilamoja inajitegeme umeme na maji
KILICHO BAKI NI RANGI. TU NA KUINGIA
BEI SHILLING 250,000 X 5-6
KUONA ELF 15
UKILIPIA MWZ 1 DALALI
#0688653940__
#0710614924