House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISHWA
KIMARA MWISHO KILOMETA. 1
KUTOKA BARABARA YA LAMI
📌USAFIRI UPO WA
BAJAJI NOHA TZS 500
BODA BODA ELFU 1000 /=
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#KIBALAZA CHAKO CHAKUPIKIA
#MAJI YANA FLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
#MAJI DAWASA MITER YAKO
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
#PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 150,000/=X"4"
CONTACT US
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI