House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
LOCATION #KIMARA_SUKA
#KOD! 250,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO
ROAD DAKIKA 10
USAFIRI BODA 1000
APARTMENT HII SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA
#SEBULE KUBWA SANA NA
#TOILET PUBLIC YA NDANI NA
#JIKO LAKE SAFI LANDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA MASAA 24
NYUMBA IPO NDANI FENSI FULL PEVING BLOCK NA PARKING SPACE
ANGALIZO NYUMBA AITAKIWI WENYE FAMILIA KUBWA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SH.20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747