House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
==================
IPO KIMARA TEMBON KWA MAKOFIA
==================
KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
=================
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MWEZI 5, 6
=====================
SIFA ZAKE
########
INA NYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE SEEM YA JIKO NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
======================
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE FENS LUKU 2 NA MAJI 2 YANAWEKWA NDAN
====================
INA TILLES GYPSUM ALUMINUM SAFI
=======================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==========================
CONTACT
0679997610
0658884015
Msigwa