House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







260,000 x6. 0781 418 437 pg 0679 956 863 WSP
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS 500 DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
.
KODI NI 260,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
========
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA CHN NA JUU
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
MAZINGIRA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT. 0679 956 863
0759151524
0781 418 437