House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KARI SANA NIYAKU HAMIA TUU🏃🏃
INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI NI 150,000X6
💰KODI NI 150,000X6
IPO STOP OVER UMBALI WA KILOMTA( 1)USAFILI UPO MDA WOTE BODABODA 1000
SIFA ZA NYUMBA
INA CHUMBA KIKUBWA
SEBULE NA
CHOO NDANI KUNA SEHEMU YA JIKO
IPO NDANI YA FENSI PAKING SPACE KUBWA SANA
INA TILES, JIPSAM, DILISHA KIOO
UMEME WAWILI
MAJI DAWASA YAPO MUDAWOTE BOMBA LIPO KWAPEMBENI
NB; ANGALIZO KWA GARI YACHINI NI CHANGAMOTO
#0625606710