House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI NI 250K
MAJI ELFU 10
USAFI WA MAZINGIRA YA NJE ELFU 10
JUMLA NI 270X6
=================
ILA UKIWA NA MIEZI MITATU (3) #KODI NI 280X3 TU UTAKUA UMESHALIPIA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA YA NJE
====================
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
=================
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500
=================
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE KWA WAGEN WAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
=============
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
===================
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==============
CONTACT
O679447338
O753454167