House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHรMBA KIKUBWA 
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKINฬG
โHAKUNA JIKO  HAPA 
#SEHEMU YA KUOSHEA VYOMBO 
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE  UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 AU BODABODA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637




















