House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
.
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS 500 DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
.
๐ฐKODI NI 260,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
========
>CHUMBA MASTER KUBWA
>SEBULE KUBWA
>JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA CHN NA JUU
TILES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
MAZINGIRA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT#0625606710