House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 4
π₯ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/07/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
π₯INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
BEI NI 300,000/=Γ4
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747