House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X6)KIMARA KOROGWE DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI NDIO MAFUNDI WANAFANYA MABORESHO YA KILA KITU HILI UPATE NYUMBA MPYA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER WASTANI
#JIKO KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453