House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KARI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU USAFILI UPO MWINGI BAJAJI MIA 700 UKISHUKA DK 3 BODA BUKU
BEI YA PANGO LAKI 180,000X6
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE SEHEMU YA KUPIKIA
UMEME SUB MITA
MAJI MITA YAKE
NYUMBA IPO NDANI YA GETI PAKI KUBWA MAZINGIRA MAZURI
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO NI MPYAA MPYAA
#0710614924
#0688653940