House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(270,000 ร 3) KIMARA STOP OVER
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 270k ร 3
: Dakika 6 - 7 kwa Mguu kutoka Main Road
============
โข Chumba Kikubwa cha Kulala Kikubwa
โข Sebule kubwa
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment ipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani
Tsh. 270,000 Malipo Miezi 3
Survey Charge ni 15,000 tu
Na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba
Contact:
0654101710
0787205300



















