House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= × 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 TUU
🌟 APARTMENT HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE 6SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA P
BEI NI 250,000/ = × 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 1 TUU)
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA YA KUELEKEA CHUO KIKUU
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU
𝗕𝗢𝗗𝗔𝗕𝗢𝗗𝗔 1000
UNAWEZA KUPITIA 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗨𝗖𝗛𝗔 NA UKAFIKA VIZURI SANA KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0715949085
0782838336