House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐๏ธAPARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
WHITE HOUSE ๐
NIMEISHUSHA BEI SASA..๐
๐ฅKODI YAKE 130K X6
#MASTER BEDROOM
#SEBURE SAFI
#SEHEMU YA JIKO SAFI
#UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.5.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
โNYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHAโ
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA ๐
SIMU
0712656027