House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 130,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA KWAKE CHA NJE
#HAKUNA JIKO
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU
BEI NI 130,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__________
CALL 0784810004
0713545127