House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
*APARTMENT NZURI YA KIBACHELA
*MASTER BEDROOM, SEBULE & JIKO
*INAPANGISHWA
*KIMARA TEMBONI
💥KODI 220,000 × 4
#MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO SAFI / OPEN KITCHEN
#TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
#MAJI SAFI DAWASA
#MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
#UMEME LUKU YAKO
🏡 *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1,000/=
🏘️NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE, PARKING KUBWA USALAMA KAMA LUGALO 👍
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp