House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #230k
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani (master)
Jiko la kisasa lenye marble
Kodi 230,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 8 Kwa mguu
Inajitegemea umeme na maji, ndani ya fence parking IPO
NB: Inakuwa wazi kesho jumamosi kuona na kulipia ruksai
Kupelekwa kuona nyumba elf 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300