House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU (200,000/= )
🏠🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258