House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X5)KIMARA TEMBONI BAJAJI ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
INAKUA WAZI TAR 15/12/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
====================
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
==================
IPO KIMARA TEMBON KWA MAKOFIA
==================
KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
=================
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MWEZI 5, 6
=====================
SIFA ZAKE
########
INA NYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE SEHEM YA JIKO NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
======================
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE FENS LUKU 2 NA MAJI 2 YANAWEKWA NDAN
====================
INA TILLES GYPSUM ALUMINUM SAFI
=======================
KUPELEKWA SITE ELF 15
==========================
CONTACT
0716223412
0683597453