House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(120,000X4)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 120K
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5. 6
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
IPO NDAN YA FENS SAFI ILA SIO YA KULAZA GARI
INA TILLES GYPSUM SAFI
LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453