House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE.
.
KODI NI 120,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA KM 1.8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
CHOO NDANI PUBLIC
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI
MAZINGIRA TULIVU
NA MAZINGIRA YA NJE NI MASAFI SANAA
.
SERVICHAJ ELFU 10
.
CONTACT
074260844
0657384670