House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🏠APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba sebule kubwa na public k ya ndani Nyumba kubwa pia stoo ipo
Hapa umeme na maji mnashea wa tatu 3
Nyumba haipo kwenye fence ila Mazingira mazuri sana kwa watoto
💰BEI YA PANGO 180000 X 6
BODABODA 1000
BAJAJI 700
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES SHILLING 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL #025606710