House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO NDAN YA FENS PARKING IPO SIO KUBWA SANA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI FULL GARDEN SAFI
.
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 UPO GETINI
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844