House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,
USAFILI UPI MWINGI BAJAJI 500/
KUTEMBEA KWA MGUU DK 15
KODI
200,000X3
======
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE
NA KIBARAZA
INAJITEGEMEA UMEME NA
MAJI. DAWASA
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179