House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #BEI 150K
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO LAKE
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU 2 TU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI WAPO 24 HRS KILA MWEZI ELFU 25 ZINGATIA ILO KWA USALAMA WA MALIZAKO ZOTE
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37