House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT YA #KIFAMILIA INAPANGISHWA #GOBA_LASTANZA DK 1 TOKEA MAIN ROAD KWA MIGUU
__
Vyimba 2 vya kulala, kimoja master
Jiko la nguvu
Sebule
Full paving blocks
Maji dawasa na Umeme luku yako
Choo cha familia
Sehemu ya kupaki magari ipo
Fensi ya Umeme
__
Kodi 600, 000/= × 4, 5 au 6
Kuoneshwa site 20 elf
Dalali hela ya mwezi 1
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
__
PIGA SIMUU