House/Apartment for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 650,000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni chumba sebule jiko choo
@
Ipo maeneo ya kinondoni
@
Fensi & parkingi ipo
@
Umeme fensi umeme mita yako
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687