House/Apartment for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Ni Apartment Mpya Kwenye Compound.Hapa Kuna Chumba Master Sebule Jiko Na Public Toilet Inapangishwa Bei 300k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Jikoni Wanafunga Makabati.Kuangalia Na Kulipa Ruksa.Imebaki Nyumba 1.
Muhitaji piga 0688 412 890.