House/Apartment for Rent at Kipande, Rukwa







MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO MBILI  ZINAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
š APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#ICHUMBA KIKUBWA MASTER 
#SEBULE 
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NJEE
ā”ļø#LUKU MITA  INAJITEGEMEA
š¤#MAJI DAWASA YANAFROW NDANI
NB;NYUMBA  FENCE BADO KIPANDE KIDOGO WANAMALIZIA KUJENGA USALAMA UPO WAKUTOSHA 
š°BEI NI 200,000/= X MIEZ 6
š£NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
 .. KUTOKA MAIN ROAD HADI KWENYE NYUMBA  KM 2.3...USAFIRI BAJAJI 1000..UKISHUKA DK 1 UPO NDANI 
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419




















