House/Apartment for Rent at Mabibo, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri inapangishwa Mabibo Hostel
Itakuwa wazi tarehe 20 mwezi 10 mwaka 2025
Umbali dakika 4
Sifa zake :--
-chumba master na jiko kubwa
- dipoziti 250,000/=
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
Kodi 250,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo Miezi 6
Service Charge 15,000/-
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.