House/Apartment for Rent at Makumbusho, Dar Es Salaam


Apartment Nzuri Inapangishwa
Mahali: Makumbusho
Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3
Ukilipia Miezi 4, Unawekewa Ac Sebuleni. Ukarabati Wote Unafanyika
☑️Chumba Sebule Jiko Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Umeme Mita Yako
☑️Ac Chumbani
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz