House/Apartment for Rent at Manzese, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO MANZESE URAFIKI KITUO NI BIG BROTHER (URAFIKI)
BEI NI 180,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIZURI
#SEBULE NZURI
#CHOO CHA KWAKE CHA NJE
#JIKO LA KWAKE LIPO NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#PARKING
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 180,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MANZESE URAFIKI KITUO NI BIG BROTHER (URAFIKI) UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 - 7 KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419
##0760830706