House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJ 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
PIA KWA WALE WANAOTOKEA TABATA SEGEREA KUELEKEA MBEZI MWISHO UNASHUKA KIFURU AU MBEZI MWISHO KUELEKEA SEGEREA UNASHUKA KIFURU INAWAFAA SANA HII NYUMBA
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LAKO MWENYEWE LA NJE NA PUBLIC TOILET NZURI ZA NJE
ZIPO APARTMENT 4 APA NA HII MOJA NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















