House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KWAMSUGURI #150k
===
Chumba MASTER
Sebule
Na jiko safi
UNAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI
JUU FENI ZINAFUNGWA KOTE
Bei:150,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo 700
==
parking IPO yakutosha
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
NB: HII NYUMBA KUHAMIA TRH 1/1 KULIPIA LUKSA CHAPU KABLA UJAWAHIWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347