House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI SANA
IPO NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
š„ KODI YAKE 300K X6//
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
šļø NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
ā” VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA.
ā” SEBURE KUBWA
ā” DINNING
ā” JIKO KUBWA SAFI
ā” PUBLIC TOILET
ā” STORE
ā” TILES/ GIPSUM
ā” DIRISHA KIOO/ SHARTA
ā” PARKING SAFI
ā” INAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI SAFI NA YANAFLO NDANI
šļø NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
USAFIRI >>>
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
*NOTE:: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 04/ 2025, MTEJA ANARUHUSIWA KUJA KUONA NYUMBA KUANZIA SASA, NA KUFANYA MALIPOš*
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347