House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment zinapangishwa
mbezi kifuru kituo Soweto
Chumba master bedroom
Sebule kumbwa
Jiko kumbwa zuri
Kodi yake 250,000/=
Miezi 6
Maji yapo
Umeme wako
Dalali Hela ya mwezi mmoja 1 ukilipia nyumba
Dk 3 tu kutoka barabara ya rami
Kuoneshwa nyumba 20,000/=
Nipigie cm 06595O7709
06595O7709



















