House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(120,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 120,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
📌HAKUNA JIKO
BEI NI 120,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300