House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
BEI 150,000/=x3
APARTMENT MPYAAA
SIFA ZA NYUMBA
=======
CHUMBA MASTA
SEBULE KUBWA
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO USALAMA WA KUTOSHA
======
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KILOMITA MOJA NA NUSU
USAFILI UPO MWINGI SANA
BODA 1000
MUDA WOTE
======
UMEME WAWILI ZILIKUA 4 IMEBAKI MOJA
BEI 150,000X3 TU AU 4
=====
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
======
CONT
0683234124
0718367179