House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384670
.
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 400,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 21/07/2025 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ULINZI NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE KABISA NDUGU MTEJA
#BEI NI 400,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA