House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
KUBWA
YA JIKO
TOILET
DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 180,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530