House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT CHUMBA SEBULE JIKO CHOO
Price tsh laki 450000 terms of payment 6 months
Location mbezi beach masana lami nyumba
Ukilipa nyumba unakuwa umesha lipa usafi ulinzi taka taka
Nyumba ina luku ya peke yake mita ya maji ya kwake
Nyumba ipo ndani ya fensi na ina mlinzi masaa 24
Ukilipa nyumba unalipia na hela ya dalali Godfrey ya mwezi mmoja kuona nyumba elfu 20
Not nyumba itakuwa wazi mwisho wa mwezi kuona ruksa kulipia ruksa karibuni sana
Contact
0625584914