House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA 200,000/=×3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#CHOO KIZURI CHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/=×3
APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 6 UPO KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE TSH 15,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258