House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #200k
Chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani (public)
Jiko kubwa zuri la kisasa
Bei:200,000 kwa mwezi x 3
Inajitegemea umeme na Maji,ndani ya fence parking ipo ya kutosha
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15
simu 0659336751 wsp 0786085637