House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
🏛APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
>INA CHUMBA MASTER
>SEBULE KUBWA
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NDANI YA FENCE
🛣LOCATION:NYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KIM1;5 TOKA MOROGORO.ROAD USAFIRI UPO WAKUTOSHA
BAJAJI🛺700
PIKIPIKI🏍️1000
💰KODI 180,000 MIEZI (6)
SERVICE CHARGE ELFU 15
PIGA SIMU#0625606710
Au 0783794666