House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#STORE
#PAVING
#BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085