House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA - ZONE #150
Chumba cha kulala Sebule Jiko kubwa lenye makabati na choo public ndani
Kodi 150,000 kwa mwezi × 6
Fenced na parking ya ukweli
Inajitegemea umeme na maji
Umbali km 2 bajaji zipo 700 bodaboda 1000 toka Mbezi mwisho na 1000 ukitokea St. Joseph
Kupelekwa kuona nyumba elf 15
PIGA SIMU 0789049684