House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(180,000X3)MBEZI LUGURUNI 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI ZIPO
——
APARTMENT INAPANHISHWA MBEZI LUGURUNI #180K
Chumba cha kulala Sebule Jiko kubwa ( open) na choo
Kodi 180,000 kwa mwezi × 3
Fenced na parking
Inajitegemea umeme na maji
Umbali km 2.5 bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elf 15
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















